Kocha Kaizer Chiefs aihofia Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 May 2021
Kocha Kaizer Chiefs aihofia Simba

Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs Gavin Hunt amekiri kuwa wanakabiliwa na mechi mbili ngumu za robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Simba ambazo zitapigwa May 14/15 na May 21/22

Chiefs watakuwa wenyeji wa mchezo wa kwanza na kisha kusafiri jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wa pili

Hunt amesema mafanikio waliyopata Simba katika hatua ya makundi yanawapa taswira ni aina gani ya mpinzani wanakwenda kukutana nae

"Timu yoyote tunayokutana nayo katika hatua hii sio nyepesi. Simba walikuwa na hatua nzuri ya makundi, waliwafunga Al Ahly. Hakika hautakuwa mchezo mwepesi kwetu. Utakuwa mchezo mgumu sana kwa vyovyote vile, tunapaswa kufanya maandalizi lakini kwa sasa tunaangalia mchezo unaokuja mbele yetu kabla ya Simba," alisema Hunt

Ni mara ya kwanza kwa Kaizer Chiefs kufika robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa wakati Simba hii ni mara yao ya tatu huku pia wakiwa wamewahi kucheza nusu fainali ya michuano hiyo mwaka 1974

Chiefs walimaliza nafasi ya pili hatua ya makundi wakati Simba walikuwa kinara wa kundi A mbele ya mabingwa watetezi Al Ahly

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’