Kiungo Clatous Chama ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Simba kwa mwezi April 2021
Chama ametwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura na mashabiki wa Simba kwa wingi
Amewashinda Aishi Manula na Luis Miquissone
Ni tuzo aliyostahili kutokana na kiwango kizuri anachoonyesha ndani ya kikosi cha Simba
ADVERTISE HERE