Klabu ya Simba imewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa kombe la FA dhdi ya Kagera Sugar ambao utapigwa saa moja usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo
Simba itaingia katika mchezo huo ikiwa bingwa mtetezi, mabingwa hao wa nchi wakidhamiria kulitwaa taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo
"Tunaenda kucheza kama mabingwa watetezi na tunalitaka tena kombe hili. Kagera Sugar tunakuja kibingwa"
Ni mchezo muhimu kwa Simba ambao pia utakuwa sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa dabi dhidi ya Yanga utakaopigwa May 08
ADVERTISE HERE