Simba vs Kagera Sugar kupigwa saa moja usiku

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2021
Simba vs Kagera Sugar kupigwa saa moja usiku

Pamoja na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo, Machampioni wa soka Tanzania, Simba wana taji jingine ambalo pia wanahitaji kulitetea

Ni hili la FA ambalo msimu uliopita walilichukua kwa kuwachapa Namungo Fc mabao 2-1 katika mchezo wa fainali

Nusu fainali waliifumua Yanga mabao 4-1, kipigo ambacho Wanamsimbazi wanatamani kukishuhudia tena May 08

Kesho Jumamosi Simba itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa hatua ya 16 bora

Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku, Simba imeweka hadharani viingilio ikiwataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kushuhudia burudani ya kibingwa

Mzunguuko ni Tsh 5,000/- VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati VIP A ni Tsh 15,000/-

Ni mwendo wa 'show show' hapo kwa Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’