Simba imemuongeza mkataba beki wake mahiri wa upande wa kulia, Shomari Kapombe
Kapombe alikuwa akitajwa kuwaniwa na vilabu kadhaa nje ya nchi lakini rasmi Simba imefanikiwa kumbakisha Msimbazi kwa miaka mingine miwili
Simba inaendelea kukitunza kikosi chake kwa ajili ya ubingwa wa tano VPL msimu ujao!


ADVERTISE HERE