Gomes anataka 'majembe' yote yabaki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Apr 2021
Gomes anataka 'majembe' yote yabaki

Baada ya kuwaongeza mikataba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' na nahodha John Bocco, Simba inaendelea na zoezi la kuhuisha mikataba ya wachezaji wote ambao wako katika mipango ya Mwalimu Didier Gomes

Nyota wengine ambao wanatajwa kuwa tayari wamesaini mikataba mipya ni pamoja na mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe na kiungo mkabaji Jonas Mkude

Nyota hawa mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu

Gomes ameutaka uongozi wa Simba kuhakikisha wachezaji wake muhimu hawaondoki ili kuendeleza mafanikio yanayopatikana sasa katika msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’