Mo apongeza makocha Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2021
Mo apongeza makocha Simba

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amempongeza kocha mkuu Didier Gomes na benchi lake la ufundi kwa kazi nzuri wanayofanya katika kujenga kikosi imara

Mo amesema Wanasimba sasa wanafuraha kutokana na kazi nzuri inayofanywa na makocha hao ambao mara nyingi hawapewi sifa kwa kuwa hawaonekani moja kwa moja katika mafanikio ya timu

"Sisi sote mashabiki wa Simba tuna furahi sana kuona timu yetu inaendelea kufanya vizuri. Makocha wetu wapendwa, mpo nyuma ya pazia na ndio nguvu nyuma ya mafanikio ya timu. Tunakushukuru kwa uthubutu wenu na kujitoa kwenu na tuna imani kwamba mtaendelea kuisaida Simba kufanya vizuri zaidi," Mo ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Simba imekuwa na msimu mzuri chini ya kocha Gomes na benchi lake la ufundi wakifanikiwa kuipeleka timu robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

Lakini pia wameirejesha Simba kileleni mwa msimamo wa ligi kukiwa na uhakika wa kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’