Hayupo wa kutupokonya ubingwa Ligi Kuu - Mangungu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2021
Hayupo wa kutupokonya ubingwa Ligi Kuu - Mangungu

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema timu hiyo ilijipanga kutetea ubingwa wake kabla ya msimu kuanza

Amesema waliokuwa wakiongoza ligi walipata nafasi kwa kuwa Simba ilikuwa na majukumu ya kuiwakilisha nchi katika michuano ya ligi ya mabingwa

Amesisitiza kuwa ubora wao umedhihri na hawakuwa na wasiwasi kwani walifahamu watarejea katika nafasi yao

"Tulikuwa bize na Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, ndio maana walikuwa wanaongoza katika msimamo lakini bila ya hivyo wangeishatupisha muda mrefu sana"

"Simba hii haigusiki, hakuna wa kutupokonya ubingwa sijamuona hata mmoja, Simba inamalengo yake ambayo imejipangia toka ligi haijaanza, na huu ni msimu wa nne tunalitwaa taji mfululizo na tutaendelea hivyo hivyo"

"Kazi yetu Uongozi ni kuhakikisha tunaweka mipango madhubuti ambayo itazidi kuwafanya wachezaji wetu kuwa bora muda wote na kuzidisha ushindani zaidi na zaidi," amesema Mangungu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’