Simba kujipima na Mbeya Kwanza leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2021
Simba kujipima na Mbeya Kwanza leo

Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu hapo jana, mabingwa wa nchi Simba leo watashuka tena uwanjani kule Azam Complex, Chamazi kujipima na Mbeya Kwanza, timu inayotarajiwa kucheza ligi kuu msimu ujao baada ya kupanda daraja

Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes atautumia mchezo huu kuwapa nafasi wachezaji ambao hawajatumika sana katika michezo ya hivi karibuni

Ikumbukwe msimu unaelekea ukingoni, yapo maboresho ambayo Simba itahitaji kufanya kwa ajili ya msimu ujao

Mechi kama hizi zinamsaidia kocha kuwajaribu wachezaji wengine ili kutoa mapendekezo sahihi pale dirisha la usajili litakapofunguliwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’