Tulihitaji kujiimarisha kileleni - Gomes

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2021
Tulihitaji kujiimarisha kileleni - Gomes

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema ameridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo ambao Simba imeondoka na ushindi wa mabao 3-1

Akizungumza muda mfupi baada ya mchezo huo kumalizika, Gomes alisema walihitaji kushinda ili kujiongezea alama kileleni mwa msimamo wa ligi

"Ilikuwa ni mechi muhimu baada ya kukaa kileleni mwa ligi kwa hiyo ilitakiwa kushinda ili kuendelea kutengeneza tofauti ya pointi kwenye msimamo wa ligi. Bahati nzuri tumefanikiwa kufanya hivyo," alisema Gomes

Gomes amekamilisha ratiba ya ligi kwa mwezi April akifanikiwa kushinda michezo yote mitano

Bila shaka atashinda tuzo ya kocha bora wa April kwani ni anastahili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’