Burudani kwa Wanamsimbazi inarejea kwa Mkapa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Apr 2021
Burudani kwa Wanamsimbazi inarejea kwa Mkapa leo

Saa moja usiku leo Jumanne, April 27 vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba ambao pia ni mabingwa wa ligi hiyo kwa misimu mitatu mfululizo, watashuka katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Dodoma Jiji

Simba itaingia katika mchezo huo, ikiwa na hesabu za kushinda ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo kuweka sawa mahesabu ya ubingwa wa nne

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema wanafahamu mchezo hautakuwa mwepesi lakini watakuwa katika uwanja wao wa nyumbani na hivyo watahakikisha wanashinda

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dodoma Simba iliondoka na alama zote tatu kwa ushindi mabao 2-1

Wachezaji Paschal Wawa, Luis Miquissone ambao walikosa mchezo uliopita wakitumikia adhabu ya kadi tatu za njano, wanatarajiwa kurejea kikosini kuwakabili Dodoma Jiji leo

Mchezo utapigwa kuanzia saa moja kamili usiku

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’