Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja kamili usiku
Huu ni mchezo mwingine ambao Simba inazihitaji alama zote tatu ili kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi






ADVERTISE HERE