Simba yapania ushindi dhidi ya Dodoma Jiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Apr 2021
Simba yapania ushindi dhidi ya Dodoma Jiji

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema wamejipanga kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kujikusanyia alama 58, inawania ushindi muhimu ambao utaendelea kuwaimarisha juu katika msimamo

Akizungumza na wanahabari mapema leo kuelekea mchezo huo, Matola amesema Dodoma Jiji ni moja ya timu ngumu zilizojipambanua msimu huu

Lakini wanachohitaji ni kuona wanashinda mchezo huo katika mpango wao wa kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

"Dodoma Jiji ni timu nzuri lakini pamoja na ugumu na ubora wao lazima tupate alama tatu. Kila timu ambayo tunakutana nayo tunaenda kucheza kama ni fainali, tumeshasema nia yetu ni kutetea ubingwa," amesema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’