Mabingwa wa nchi Simba wamekusudia kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi pale watakapowakabili Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa moja kamili usiku
Tayari tiketi zimeanza kuuzwa ambapo viingilio ni Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni Tsh 15,000/- wakati VIP B na C ni Tsh 10,000/-
ADVERTISE HERE