Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina Fc hapo jana, mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamerejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa moja usiku






ADVERTISE HERE