Baada ya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina Fc hapo jana, mabingwa wa nchi Simba wameondoka jijini Mwanza kurejea Dar es salaam
Keshokutwa Jumanne, Simba itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Dodoma Jiji
Ni mwendo wa bandika bandua kwa Mnyama, alama tatu ndio muhimu
ADVERTISE HERE