Ratiba haitusumbui, tuna kikosi kipana - Matola

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Apr 2021
Ratiba haitusumbui, tuna kikosi kipana - Matola

Kocha Msaizi wa Simba Selemani Matola amesema pamoja na timu kukabiliwa na ratiba ngumu ya kucheza mfululizo, wamejiandaa kuondoka na alama zote tatu katika mchezo dhidi ya Gwambina Fc utakaopigwa leo Jumammosi

Simba imekuwa ikishuka dimbani kila baada ya siku tatu na imefanikiwa kushinda michezo yote mitatu iliyopita

Matola amesema upana wa kikosi unawapa imani ya kuwa wataendelea kushinda kila mchezo unaokuja mbele yao

"Tumekuwa na mfululizo wa mechi kweli, lakini hatuna shida ndio maana tumesafiri na kikosi chote kutokana na ratiba kama hii namna inavyotubana

"Tumejipanga kwa mazingira yoyote kuhakikisha tunashinda mchezo wa kesho Aprili 24 dhidi ya Gwambina ili kukaa rasmi kileleni na kupigania tena ubingwa msimu huu," amesema Matola

Baada ya mchezo dhidi ya Gwambina, Simba itarejea jijini Dar es salaam ambapo baada ya siku tatu itacheza na Dodoma Jiji katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’