Uongozi wa klabu ya Simba umetuma salamu za rambirambi kwa kiungo wake Taddeo Lwanga raia wa Uganda aliyefiwa na dada yake
Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa mazishi yatafanyika leo Jumamosi Aprili 24, 2021 kwenye kijiji cha Ndejje Kanyanya Zone kilichopo mjini Wakiso, Uganda.
Simba imewaomba Watanzania na Wanasimba waliopo karibu na mji huo kuungana na familia ya Taddeo kushiriki mazishi hayo
Pole Lwanga, Mwenye ez awape uvumilivu familia katika kipindi hiki cha majonzi
ADVERTISE HERE