Ni ubabe ubabe tu VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2021
Ni ubabe ubabe tu VPL

Mabingwa wa nchi Simba wanaongoza katika kila takwimu kwenye ligi kuu ya Vodacom msimu huu

Katika michezo 23 waliyocheza, Simba imeshinda mechi nyingi zaidi 17 huku wakiwa wamefunga jumla ya mabao 54 na kuruhusu mabao tisa tu kutikisa savu zao

Ukizungumzia mlinda lango bora mpaka sasa ni Aishi Manula ambaye hajaruhusu nyavu zake kutikishwa katika michezo 13. Manula anasaidiwa na safu bora ya ulinzi kulingana na takwimu za idadi ya mabao ya kufungwa

Kinara wa mabao ni Meddie Kagere aliyeweka kambani mabao 11 akiwa amefungana na Prince Dube wa Azam Fc

Lakini aliyeko nafasi ya pili ni nahodha John Bocco aliyeweka kambani mabao 10

Kinara wa pasi za mabao ni Clatous Chama aiyetoa pasi 11 za mabao huku akifuatiwa na Luis Miquissone aliye na assist 9

Wachezaji wengine wenye mabao mengi katika kikosi cha Simba ni pamoja na Chama (7), Miquissone (6) na Chris Mugalu (6)

Simba imejikusanyia alama 55 kutoka michezo 23 ikihitaji kushinda mchezo unaofuata dhidi ya Gwambina Fc hapo kesho ili kwenda kileleni tena ikiwa na michezo miwili mkononi

Unapozungumzia timu bora hii ndio maana yake, takwimu zinatosha kuthibitisha kile kinachosemwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’