Hii Simba hata isiposajili haikamatiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2021
Hii Simba hata isiposajili haikamatiki

Uongozi wa Simba bado haujatoa taarifa rasmi kuhusu tetesi za kufungiwa kusajili kwa mwaka mmoja kulingana na barua inayosambaa katika mitandao ya kijamii

Hata hivyo Wanamsimbazi hawawezi kuwa na wasiwasi wa jambo hilo hata kama ikitokea lina ukweli

Simba ina kikosi imara ambacho hata kama hawatasajili msimu ujao wanao uhakika wa kushinda ubingwa kwa mara ya tano

Kinachotakiwa kufanywa na mabosi wa Simba sasa ni kuongeza mikataba ya wachezaji ambayo inaelekea ukingoni, huo ni usajili tosha

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama klabu ya Simba Hashim Mbaga amesema Simba hailazimiki kusaili kutokana na kikosi walichonacho!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’