Alama tatu za kurudi kileleni ziko Misungwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2021
Alama tatu za kurudi kileleni ziko Misungwi

Wakati kelele zikiwa nyingi huko mtaani kuhusu tetesi za kufungiwa kusajili, Simba inaendelea na mawindo yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Gwambina Fc utakaopigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Gwambina, Misungwi

Simba ilirejea jijini Mwanza jana wakitokea Kagera ambako walifanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar

Mabingwa wa nchi wanahitaji ushindi ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi

Simba inatarajiwa kutua Misungwi leo muda ya jioni ikitarajiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho katika mji huo

Shamrashamra zimeendelea kupamba moto, mashabiki wakiwa na shauku ya kumshuhudia 'Mnyama' mbashara

Burudani 'mbashara' wataishuhudia siku ya kesho...

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’