Maandalizi ya kuikabili Stand United yanaendelea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Mar 2018
Maandalizi ya kuikabili Stand United yanaendelea
Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua katika viwanja vya Boko Veterani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 20 dhidi ya Stand United.

Simba itaikaribisha Stand United kesho Ijumaa kwenye uwanja wa Taifa.

Benchi la ufundi linaloongozwa na Pierre Lechantre linaongoza mazoezi hayo ya kuiandaa timu na michezo miwili muhimu inayofuata.

Kwani baada ya kuivaa Stand United kesho, Simba itawasubiri waarabu wa Al Masry kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Barani Afrika, mzunguuko wa kwanza March 07.

Katika mazoezi ya jana, beki Salim Mbonde alifanya mazoezi na kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza baada ya kuwa majeruhi kwa muda mrefu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’