Chama avunja rekodi yake ya msimu uliopita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Apr 2021
Chama avunja rekodi yake ya msimu uliopita

Kiungo wa Simba Clatous Chama maarufu Mwamba wa Lusaka ameivunja rekodi yake ya kutoa pasi za mabao aliyoiweka msimu uliopita

Msimu wa 2019/20, Chama aliibuka kuwa mchezaji bora wa VPL akitoa pasi 10 za mabao

Lakini Chama leo ameivunja rekodi hiyo baada ya kutoa pasi ya 11 katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao Simba iliondoka na ushindi wa mabao 2-0

Chama alitengeneza bao lililofungwa na Luis Miquissone ambaye pia amekuwa na msimu mzuri

Chama amehusika katika mabao 18 yaliyofungwa na Simba. Amefunga saba na kutoa pasi 11 za mabao

Kuna Chama mmoja tu Tanzania

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’