Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo wamekamilisha maandalizi yao ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano uwanja wa Kaitaba
Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja huo








ADVERTISE HERE