Vunjabei kuja na bidhaa kibao za Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2021
Vunjabei kuja na bidhaa kibao za Simba

Baada ya kushinda tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi na bidhaa nyingine za klabu ya Simba, Mtendaji Mkuu wa Vunjabei Co Ltd, Fred Vunjabei amesema Wanasimba wakae mkao wa kula kwani watatengeneza na kuwafikishia bidhaa hizo

"Nitoe shukrani kwa uongozi wa Simba na kwa Wanasimba. Naamini wamerudisha tumaini jipya kwa vijana wengi"

"Tunaenda kutengeneza vitu vingi kama jezi, t shirt, cover za simu, miwani, saa za Simba, kofia, soksi, viatu, mabegi na vitu vingi"

"Kwa sasa Simba ndio brand kubwa Afrika Mashariki na Kati, itafanya brand yetu ikue kwa kasi kubwa ndio maana tumetoa ofa kubwa ya Tsh. 2bn dau kubwa kabisa kuwahi kutoka hapa Afrika Mashariki na Kati"

"Vijana wasiogope kufanya vitu vikubwa, sisi kama Vunja Bei tutakuwa mfano wa kuigwa. Vijana wa kitanzania tunaweza, tusipende kuwa wanyonge, tujiamini. Nimepata tenda ya jezi Simba mbele ya brands kubwa za kimataifa"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’