Vunja Bei washinda zabuni ya jezi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2021
Vunja Bei washinda zabuni ya jezi Simba

Kampuni ya Fred Vunja Bei imeshinda tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi za klabu ya Simba ikiibuka kidedea katika zabuni hiyo iliyotangazwa na Simba mwishoni mwa mwaka jana

Tukio la kutangazwa kampuni hiyo kushinda zabuni, limefanyika muda mfupi uliopita Mlimani City jijini Dar es salaam

Akizungumza katika hafla hiyo, Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema mkataba kati ya Simba na Fred Vunja Bei una thamani ya Tsh Bilioni 2

Barbara amesema kuwa Simba itanufaika zaidi na jezi zake kulinganisha na miaka iliyopita ambapo mwaka jana waliambulia takribani Tsh Milioni 100 tu

Mkwanja unazidi kumiminika Msimbazi...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
1h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
19h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
23h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’