Wanaomtaka Onyango walete Bilioni 2 - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2021
Wanaomtaka Onyango walete Bilioni 2 - Manara

Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amethibitisha kuwa ziko timu zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili beki kisiki Joash Onyango raia wa Kenya

Onyango amekuwa katika kiwango bora sana hasa katika michuano ya ligi ya mabingwa ambayo Simba ilitinga robo fainali kibabe kwa kuongoza kundi A

Manara amesema thamani ya mchezaji huyo ni Tsh Bilioni 2 hivyo kama kuna timu itaweka fedha hiyo mezani, hawana hiyana kumuachia

"Vilabu vikubwa zimevutiwa na uwezo wa Onyango (Joash). Thamani yake ni Ksh 100 million (zaidi ya Bilioni 2 kwa pesa ya Tanzania), kwa yeyote atakayeweka dau hilo mezani, basi tutamruhusu amchukue Onyango lakini kinyume na hivyo Onyango hataenda kokote," alisema Manara

Onyango na Luis Miquissone ni wachezaji wanaotajwa kuzivutia timu vigogo barani Afrika na pengine kama Simba itaamua kuwauza itavuna fedha nyingi sana

Lakini Simba nayo inawahitaji wachezaji wao katika kutengeneza kikosi bora kitakachopata mafanikio barani Afrika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’