Pale Mlimani City majira ya saa sita mchana katika ukumbi wa VIP Lounge jijini Dar es salaam, nchi itahamia kwa muda kwani Machampioni wa soka Tanzania, Simba Sc watakuwa na jambo lao
Muelekeo wa Simba sasa ni Kimataifa zaidi, hata maboresho yanayofanyika ni ya Kimataifa
Wanahabari wamealikwa kwa wingi wao katika tukio hilo kubwa
Wenyewe wanasema Simba haina shughuli ndogo
ADVERTISE HERE