Pamoja na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha jijini Mwanza, kikosi cha Simba kiliendelea kujifua kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Kaitaba siku ya keshokutwa Jumatano, April 21, 2021




ADVERTISE HERE