Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui Fc, kikosi cha Simba kinarejea jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano katika uwanja wa Kaitaba
Simba itaweka kambi yake jijini Mwanza kabla ya kuelekea Bukoba kwa ajili ya mchezo huo




ADVERTISE HERE