Simba kuanzisha kitengo cha Scout

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Apr 2021
Simba kuanzisha kitengo cha Scout

Mabingwa wa nchi Simba sasa wamedhamiria kujiendesha kisasa zaidi kwendana na hadhi yake

Kwa mara ya kwanza Simba itakuwa na kitengo maalum cha kufuatilia wachezaji (Scout)

Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu nafasi ya Mkurugenzi wa kitengo hicho ambapo Mcongoman Mwinyi Zahera anatajwa

Kitengo cha Scout kitakuwa kikihusika zaidi ya masuala ya uvumbuzi wa vipaji vya wachezaji, kuhusika na masuala ya kusaka wachezaji wenye hadhi ya kusajiliwa na Simba bila ya kusahau kazi ya kutathmini wachezaji waliopo

Zahera aliyewahi kuinoa klabu ya Yanga hapa nchini, ana uzoefu mkubwa na soka la Kimataifa kwani amekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo kwa muda mrefu

Inaelezwa wiki hii Simba itamtangaza Mkurugenzi wa kitengo hicho baada ya kukamilisha usaili uliofanyika mwishoni mwa wiki

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’