Jana Simba imeendelea na mpango wake wa kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo baada ya kuichapa Mwadui Fc bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kambarage
Bao la nahodha John Bocco lilitosha kuihakikishia Simba alama tatu muhimu ambazo zimewasogeza karibu kabisa na nafasi ya kwanza sasa wakihitaji alama mbili tu kuiondoa Yanga kileleni
Highlights za matukio mbalimbali yaliyojiri katika mchzo huo
ADVERTISE HERE