Muda mchache ujao mabingwa wa nchi Simba watakuwa uwanja wa CCM Kambarage kuikabili Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Wanamsimbazi wa Shinyanga leo ni siku yao ya furaha, wamejitokeza kwa wingi kushuhudia 'show show' ya Mnyama mkali



ADVERTISE HERE