Ni shoo nyingine ya Bernard Morrison leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Apr 2021
Ni shoo nyingine ya Bernard Morrison leo

Baada ya kukosa mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar, winga Bernard Morrison huenda leo akapata nafasi ya kuanza katika mchezo dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa uwanja wa CCm Kambarage

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes alisafiri na wachezaji wake wote 28 ambapo Meneja wa timu Patrick Rweyemamu amesema wote wako tayari kwa ajili ya mchezo huo

Morrison amekuwa na mchango mkubwa katika kikosi cha hasa katika michezo ya hivi karibuni kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na hata ligi kuu

Bila shaka leo atakuwa na muda wake katika mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi Alasiri

Aidha kinara wa ufungaji Meddie Kagere 'Bull Striker' ni wakati mwingine kwake kuendelea kuwaadhibu Mwadui Fc

Huku nahodha John Bocco naye akitarajiwa kuwa sehemu ya mchezo siku ya leo

Bocco alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 5-0 ambao Simba ilipata katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’