Match Day : Mwadui Fc vs Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Apr 2021
Match Day : Mwadui Fc vs Simba

Mabingwa wa nchi Simba wako mkoani Shinyanga ambako jioni ya leo watashuka katika uwanja wa CCM Kambarage kuikabili Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Ni siku nyingine ya burudani kwa mashabiki wa Simba kwani kila mmoja anafahamu Wekundu wa Msimbazi wanaposhuka dimbani hakuna atakayebaki salama

Simba inahitaji alama zote katika mchezo huo ili kuhakikisha inarejea kileleni kabla ya kurudi kwenye majukumu ya ligi ya mabingwa hatua ya robo fainali

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes alisema kuwa baada ya mechi nne anataka kuona timu yake inaongoza ligi

Tayari Simba imeshinda mchezo mmoja dhidi ya Mtibwa Sugar na michezo mingine mitatu wanacheza kanda ya ziwa dhidi ya Mwadui Fc, Kagera Sugar na Gwambina Fc

Msimu uliopita Simba iliacha alama zote tatu katika mchezo dhidi ya Mwadui Fc uliopigwa CCM Kambarage, leo mabingwa hawatakuwa tayari kuacha alama hata moja

Mchezo unapigwa kuanzia saa kumi jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’