Mabingwa wa nchi Simba wameondoka mkoani Mwanza kuelekea Shinyanga tayari kwa mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa CCM Kambarage
Simba ilitua Mwanza jana usiku, leo asubuhi wakafanya mazoezi yao CCM Kirumba kabla ya kuanza safari ya Shinyanga



ADVERTISE HERE