Kabla ya kuelekea mkoani Shinyanga, asubuhi kikosi cha Simba kimefanya mazoezi uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mcheza wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, April 18 katika uwanja wa CCM Kambarage








ADVERTISE HERE