Siri ya mafanikio ya Simba ni uwekezaji - Rweyemamu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Apr 2021
Siri ya mafanikio ya Simba ni uwekezaji - Rweyemamu

Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema mafanikio yanayopatikana sasa yametokana na juhudi za uwekezaji uliofanywa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita

Rweyemamu amesema ushiriki wa Simba katika michuano ya Ligi ya Mabingwa ulikuwa wa hatua na kila hatua waliitumia kujifunza na kufanya maboresho zaidi

"Huu ni takribanbi mwaka wa tatu mfululizo tunashiriki ligi ya mabingwa, na tumejifunza kwenye kila hatua tuliyopita"

"Tulianza tukafika robo fainali, tukaja tukatolewa kwenye mashindano kwenye hatua ya awali, tumekuja safari hii kufika robo fainali tena na Mungu akijalia Inshallah tutafika nusu fainali," amesema Rweyemamu

"Huu ni mchakato ambao lazima tuishukutu taaisisi nzima ya Simba Sporst Club, kuanzia mwekezaji, tushukuru kuanzia benchi la ufundi, kuanzia bodi nzima, kuanzia wachezaji na wapenzi na wadau kwa ujumla wao"

"Ni kitu ambacho tumekidhamiria, ni suala la uwekezaji hakuna ambacho kilichotoka hewani la msingi ni kushukuru mipango tuliyojiwekea yote imetekelezeka"

Simba imetinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika wakiwa vinara wa kundi A baada ya kufikisha alama 13

Droo ya hatua ya robo fainali itafanyika April 30

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’