Mechi za kanda ya ziwa kuiandaa Simba robo fainali Ligi ya Mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Apr 2021
Mechi za kanda ya ziwa kuiandaa Simba robo fainali Ligi ya Mabingwa

Pamoja na kuwa na michezo mitatu kanda ya ziwa, kikosi cha Simba kitaendelea na maandalizi yake ya mchezo wa robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, droo ikitarajiwa kufanyika April 30

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesafiri na wachezaji wake wote 28 kwa ajili ya maandalizi huko Mwanza

Ikiwa kanda ya ziwa, Simba itacheza michezo mitatu dhidi ya Mwadui Fc (April 18), Kagera Sugar (April 21) na Gwambina Fc (April 24)

Hiki hapa kikosi kilichosafiri

Makipa

Aishi Manula
Beno Kakolanya
Ally Salim

Mabeki

Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Ibrahim Ame
Erasto Nyoni
Gadiel Michael
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
David Kameta

Viungo

Jonas Mkude
Rally Bwalya
Said Ndemla
Mzamiru Yassin
Luis Miquissone
Hassan Dilunga
Clatous Chama
Bernard Morrsion
Francis Kahata
Taddeo Lwanga

Washambuliaji

Medie Kagere
John Bocco
Ibrahim Ajib
Kope Mugalu
Miraji Athumani
Perfect Chikwende

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
10h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
10h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
13h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’