Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kiliwasilia jijini Mwanza jana usiku wakitokea mkoani Dar es salaam kwa 'mwewe'
Simba inaelekea Shinyanga ambako siku ya kesho itakuwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa uwanja wa CCM Kambarage
Wababe hao wa soka nchini, wanaondoka asubuhi ya leo Jumamosi kuelekea Shinyanga tayari kwa mchezo huo
Jioni Simba itafanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa CCM Kambarage
ADVERTISE HERE