Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameondoka kuelekea jijini Mwanza ambako wataunganisha mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa keshokutwa April 18 uwanja wa CCM Kambarage


ADVERTISE HERE