Jana Mtibwa Sugar walikutana na Simba katika wakati mbaya sana kwani walikutana na gari ambalo lunavuma kwa kasi ya treni ya umeme
Kipigo cha mabao 5-0 walichokipata kilikuwa hakikwepeki. Wengi katika ligi kuu watarajie kukutana na vipigo vya aina hiyo kutoka kwa Simba ambayo kwa sasa ni ya moto kwelikweli
Simba hii inayowatisha vigogo barani Afrika ni kubwa mno kwa timu zetu hapa Tanzania, hivyo vilabu vinapaswa kuvumilia vipigo tu!
ADVERTISE HERE