Meddie Kagere, mabao 11 VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2021
Meddie Kagere, mabao 11 VPL

Ukizungumzia washambuliaji bora wanaocheza ligi kuu ya Tanzania Bara sasa, basi huwezi kukosa kumtaja mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere

Lakini pia historia ya Kagere itaendelea kubaki pengine kwa muda mrefu hata pale atakapoondoka nchini

Ni msimu wa tatu mfululizo Kagere anaendeleza umwamba wake wa kuzifumania nyavu

Alikuwa mfungaji bora kwa misimu yote miwili iliyopita, na msimu huu anaongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu baada ya kufikisha mabao 11

Pamoja na kuwa na nafasi finyu ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza, Kagere ameendelea kufunga mabao ndani ya muda huo huo anaopewa na kocha Didier Gomes

MK 14 ndio jina la utani, huu ni msimu mwingine anaweza kuondoka na kiatu cha dhahabu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
42m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’