Match Day : Simba vs Mtibwa Sugar, VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2021
Match Day : Simba vs Mtibwa Sugar, VPL

Baada ya kumaliza awamu ya pili ya majukumu ya Kimataifa kwa kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, leo machampioni wa Tanzania Simba watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Mabingwa hao watetezi wanarejea kwenye ligi na nguvu ileile waliyoitumia kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema anahitaji kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya mechi nne

Hesabu zinaanza leo dhidi ya Mtibwa Sugar

Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri ili kuwapa nafasi ndugu zetu Waislam ambao wako katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kuwahi futari

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’