Mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar wabadilishwa muda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Apr 2021
Mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar wabadilishwa muda

Awali ilitangazwa kuwa mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa, ungepigwa saa moja usiku

Simba imethibitisha kuwa muda wa mchezo huo umebadilishwa kutoka saa moja na sasa utapigwa saa kumi kamili jioni

Mashabiki wa klabu ya Simba wameaswa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kuiunga mkono timu yao

"Mechi ya kesho ya VPL dhidi ya Mtibwa Sugar imebadilishwa muda kutoka saa 1:00 usiku hadi saa 10:00 jioni. Tujitokeze kwa wingi kushangilia timu yetu itakapokuwa ikivuna miwa ya Mtibwa"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’