Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema mchakato wa uwekezaji ndani ya klabu ya Simba unacheleweshwa na FCC
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mo amesema wamekuwa wakifanya vikao na FCC lakini amesikitika baada ya FCC kuwaagiza waanze upya mchakato wa Uwekezaji
Mo amehofia kuwepo njama za kukwamisha mchakato wa uwekezaji wa uwekezaji ndani ya klabu ya Simba

ADVERTISE HERE