Kuzishuhudia Simba vs Mtibwa Sugar ni Buku Tano tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Apr 2021
Kuzishuhudia Simba vs Mtibwa Sugar ni Buku Tano tu

Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Simba imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja kamili usiku

Mzunguuko ni Tsh 5,000/- VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati VIP A ni Tsh 15,000/-

Tiketi tayari zimeanza kuuzwa leo kupitia vituo vilivyoainishwa katika taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo

Baada ya kugawa vipigo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Simba inarejea kwenye ligi kuendelea na kampeni yake ya kusaka ubingwa wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’