Vipi arejee au apotezewe?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Apr 2021
Vipi arejee au apotezewe?

Mshambuliaji Emmanuel Okwi raia wa Uganda mwishoni mwa msimu huu atakuwa mchezaji huru mkataba wake na klabu ya Al Ittihad ya Misri utafika ukiongoni

Tetesi za urejeo wake Msimbazi zimeanza kuvuma hasa baada ya juzi kuonekana katika kambi ya klabu ya Simba wakati wakijiandaa na mchezo dhidi ya Al Ahly

Okwi alipata chakula cha mchana na wachezaji wa Simba kabla ya kufanya mazungumzo na viongozi waliokuwa na msafara wa Simba kule Misri

Huyu ni mchezaji ambaye sehemu kubwa ya mafanikio yake ameyapata ndani ya klabu ya Simba

Tangu ajiunge na Ittihadi, Okwi amefunga mabao mawili katika michezo tisa aliyocheza ligi kuu ya Misri

Simba ndio klabu iliyompa jina, haitashangaza kuona mfungaji bora huyu wa VPl msimu wa 2017/18 akirejea tena viunga vya Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
44m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’