Juzi klabu ya Simba ilianza rasmi kulitumia basi lake jipya wakiachana basi walilokuwa wakilitumia tangu msimu 2012 ambalo walikabidhiwa na wadhamini wao wa wakati hilo Kilimanjaro Lager
Tayari Simba imetangaza kuliuza basi hilo
Hili ni basi jipya kabisa lenye hadhi ya kibingwa


ADVERTISE HERE