Mabingwa wako tayari kurudi kwenye nafasi yao

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Apr 2021
Mabingwa wako tayari kurudi kwenye nafasi yao

Mabingwa wa nchi Simba tayari wamerejea nchini baada ya kumaliza ngwe ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa wakifanikiwa kutinga robo fainali kibabe

Simba inasubiri droo ya robo fainali ambayo itapigwa April 30

Ni hivi, Simba itakuwa na takribani wiki nne 'kukichafua' kwenye ligi kuu ya Vodacom kabla ya kurudi tena kuiwakilisha nchi Kimataifa

Kazi ya kujihakikishia ubingwa wa nne itakamilishwa katika muda huo kwani Simba itacheza takribani michezo nane

Mabingwa hao watetezi wanahitaji kushinda michezo miwili tu ili kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi

Bila shaka wale waliokuwa wanatamba kuwa pale kileleni pana baridi sana basi wajiandae kushuka kwani mwenye nafasi yake ndio karejea hivyo

Mchezo wa kwanza ni April 14 dhidi ya Mtibwa Sugar.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’